Home Search Countries Albums

State House

MAGIX ENGA

State House Lyrics


Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Nimetoka mashini Karandi, huko ni ngori utatoa uradi
Master chini ya maji kuchoma mashada mabop
Rasta hawaradi kijana bado ako kazi
Nimerudi ghetto kushoot vijana tuomoke wote
Twende kazi nikitoka na ndae, bullshit sipendagi walai
Mi ninabonga we utabonga baadae, nikopeshe na utaonwa baadae
Ng'anga analearn analearn kumake beat
Namcall sai tubonge biz
You can't talk about business wakati everything is lockdown

Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Kama inabamba shika Nyomboke mwambie "Mambo unanibamba"
Hizi mangoma huwa ziandiki zinanibamba
Hizi madoba wanadai ni za washamba
Hawaezi elewa wapatiwe juice ya jaba

Kerae ni Bima
Napiga look safi sana chuja ni Puma
Madharau sipendi zii
Napiga drip safi kuliko wasafi
Nasupplyia watu mtumba

Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Enga for president State House
Ni kuwasha tu mangwai
Nawashika marolling papers
Na zishamochoa ndae

Alidhani mi ni one of them
Wapi nimetoka ghetto ndani
Na drill imeanza sai
Na naichana ikiwa safi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : State House (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAGIX ENGA

Kenya

Magix Enga real name Njenga Chege aka Beat King is a music producer and a Singer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE