Body Lyrics

Hivi niliachwa? Jamani mmmh mmmh
Naomba mnikumbushe
Maana huyu wa sasa
Kafanye wazaman ni mtupe
Saisi presha sina, stress sina
Wapi pana utulivu nije na shemeji yenu
Saisi presha sina, stress sina
Wapi pana utulivu nije na shemeji yenu
Mana ananipaitia, mapenzi hisia
Nishajifia kwake sina maneno
Baby wangu anabody (anabody)
Anabody (anabody)
Anabody anabody anabody
Geuka waone hilo body (hilo body)
Hilo body (hilo body)
Chezesha body
Hilo body, hilo body, hilo body hmm mmh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neon na mtu iyeeeh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neon na mtu
Ila akilewa (umlando adiwele jagamaister)
Ayayayaa
Umlando adiwele jagamaister
Ila akilewa (umlando adiwele jagamaister)
Ayayayaa
Umlando adiwele jagamaister
Ayayayaa
Aniibie nani ooh nani
Wakati na vigezo vyote vyakuwa na yeye
Amdangie nani ooh nani
Wakati na vigezo vyote vyakuwa na yeye
Look at you, at you
At you, at you
You are so beautiful my dear eeh
Look at you, at you
At you, at you
You are so beautiful my dear eeh
Baby wangu anabody (anabody)
Anabody (anabody)
Anabody anabody anabody
Geuka waone hilo body (hilo body)
Hilo body (hilo body)
Chezesha body
Hilo body, hilo body, hilo body hmm mmh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neon na mtu iyeeeh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neon na mtu
Ila akilewa (umlando adiwele jagamaister)
Ayayayaa
Umlando adiwele jagamaister
Ila akilewa (umlando adiwele jagamaister)
Ayayayaa
Umlando adiwele jagamaister
Ayayayaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Body (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
MACVOICE
Tanzania
Macvoice is an artist from Tanzania signed under Next Level Music by Rayvanny. He is the first signe ...
YOU MAY ALSO LIKE