Home Search Countries Albums

Nangojea

KLONS Feat. DICE B

Nangojea Lyrics


Saldido

Mama mama mamama hey...
Teddy B

Wahenga walisema
Haraka haraka hainaga baraka
Oooh na mimi 
Ninaharaka zangu nilivyoteseka

Wahenga walisema
Haraka haraka hainaga baraka
Oooh na mimi 
Ninaharaka zangu nilivyoteseka

Ooooh, hey..
Ooooh, hey..

Sitoki kwako uwoo 
Niko by force by fire
Mimi ni wako uwoo
Sitoki mpaka mi unibariki

Sitoki kwako uwoo 
Niko by force by fire
Mimi ni wako uwoo
Sitoki mpaka mi unibariki

Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea
Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea

Nilitia bidii na si enough
Nika perambulate all over na life tough
Iyee

Bado nang'ang'ana 
Breakthrough
Nangoja kupatwa nayo

Nalia roho 
Ni nani atabother?
Njoo roho, ondoa hardcover za
Maisha saga za kokoto

Nifanye niepuke kimuziki 
Na marafiki viroboto
Niondolee, niondolee
Marafiki viroboto

Niondolee, niondolee
Saga za kokoto
Niondolee 
Baba naomba

Sitoki kwako 
Niko by force by fire
Mimi ni wako 
Sitoki mpaka mi unibariki

Sitoki kwako 
Niko by force by fire
Mimi ni wakore
Ah-ah-ah-ah...

Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea
Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea

Nangojea, nangojea aah
Niko by force by fire
Nangojea, nangojea eeeh

Sanga za kokoto 
Niko by force by fire
Marafiki viroboto
Sitoki mpaka mi unibariki

Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea
Bado nangojea, bado nangojea
Bado nangojea baba, bado nangojea

Aaah eeeh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nangojea (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KLONS

Kenya

Klons is an artist from Kenya, signed under Willy Paul's Saldido International Records ...

YOU MAY ALSO LIKE