Home Search Countries Albums

She Knows

KINGPHEEZLE Feat. NELLY THE GOON

She Knows Lyrics


We ndo funguo la happiness
Mtoto kiboko ni maryjane
We sehemu kwenye cabinet
Mwenye kiti kama chama
Ngeus ameiva videadly

Uko Fuliza na ati Kenya iko na deni
Ughetto iliisha tangu nianze kucheza tennis
Piga doggy mpaka achachishe na rabis
Na akilia si ajipange kama tetris

Kama kusema kweli pombe nishalewa lewa
Ama nimevuta marijuana, maana

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

Mwanamke ni machozi
Kwanza ka amebeat manze tu ni kihohozi
Usichoche mbogi na ulishindwaga na ndozi
Chuma si ya doshi manze chuma ni ya mdosi

Buda take your time na ujiitange kimeeting
Umedunga sahara na ati daily uko meeting
Mfuko haina doh mfuko tu ina kiberiti
Kiasi nikaona ayela ndani ya chuom za marikiti kiti

Ati slap the remote ka haifanyi
Ka sijacheka hio joke si funny
Tuko mabangi na mabuda budalangi
Na kaveve nashikisha na msami

Kama kusema kweli pombe nishalewa lewa
Ama nimevuta marijuana, maana

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

Just stay now
Know you never seen her
Girl you are my dreams in Africana
Sana nampenda sana

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her
She knows that I love her

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : She Knows (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KINGPHEEZLE

Kenya

Kingpheezle is an artist/producer from Kenya. He is a CEO of Stray Music. ...

YOU MAY ALSO LIKE