Home Search Countries Albums

Nataka

KING KAKA

Nataka Lyrics


Si ukalale kwa kitanda na
Upewe request hauchezi(Gani hiyo)
Nichezee ile song ya Sauti Sol
Ile inaitwa keroro(Cheki nimekam na mandom)

(iLogos Music)
Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Say you guy my guy you promised me a botty
Niko na madem kama kinde kwa moti
Bed olympics mami mi ni pro
Ka hauna kredo mi usiniflash mi si choo

Vile umecarry bana
Mi nimecarry rubber
True love ni Mag
Haujasoma bana

Tunasherekea Kipchoge na kina Kipkemboi
Ambia Stevo am not a simple Boy
Kuna yule anamwahura mwingine mapang'ang'a
Bouncer anachapana utadhani Pastor Ng'ang'a

Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Odi wa Murang'a nawachange kama diapers
Ka ni momo nambeba kejani na kitractor
Ka mogosho nakemba turi na contractor
Miguu zake mabegani stingo ni za smart now

Odi King Kaka twaigira na ngoma
Ndani ya tire zetu ni mbegu iratoga
Ng'ango na mandom, jaba za Sodom
Leo tire tunaseti ni za Hong Kong

Odi King Kaka twaigira na ngoma
Ndani ya tire zetu ni mbegu iratoga
Ng'ango na mandom, jaba za Sodom
Leo tire tunaseti ni za Hong Kong

Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Mi nataka nikunywe, nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe(Hadi wanibebe)
Hadi wanibebe(Hadi wanibebe)

Nikunywe hadi wanibebe...

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nataka (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE