Home Search Countries Albums

Kula Vako

KING KAKA Feat. THE KANSOUL

Kula Vako Lyrics


[Intro]
Vako
Kula vako
Kula vako
Kula vako
(Jack, Jack on the beat)

[Chorus]
I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(vako)

I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(Vako)

[King Kaka]
Na ni juzi  juzi tu nimekuwa Usiku Sacco
Nikaku-nikakuspot na wenzako
Wachana na wao lakini wewe we hey
Si umebeba sio vako(Kula vako)
Na ni kama sio zako(Kula vako)
O7 gani mami? Niko ndani mami na (Kula vako)
Yaani yaani na nani mgani?(Kula vako)

Back to you natupa macho hapa kule
Kuchafua meza ambia waiter apanguze
Mi hujoin vile unakaa fiti kwa kiti
Na ujue, niko na keys to the city
Kiukweli siko maji siko tipsy

[Chorus]
I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(vako)

I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(Vako)

[Madi]
Aah, mumunya pang'ang'a, punguza umama
Vako za kipro, cheza chini ya waba
Inaonekana itabidi tuwaonyeshe
Sisi ndio kusema(wop) 
Microphone testing

Eey, aha aha!
It is a must aha!
Mizinga zikam bana
Mbichwa ikiwashwa man 
Cheki, mabang'a ndio hawa man 
Nyonga chap chap 
Na uwashe sigara man

Niko na stori maajabu(Kula vako)
Huyu roro ameingia box yangu(Kula vako)
Tena ameingia inbox yangu(Kula vako)
Kitu crazy huyu ni dem wa boss yangu

[Chorus]
I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(vako)

I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(Vako)

[Mejja aka Okwonkwo]
Cheza chini buda, kula vako buda
Kale kadem ka jana leo nataka kukakuta
Leo usiku nataka kumfunza Kamasutra
Chali yake akule vako, asharushwa
Huyo si mali yako ni mali ya uma
Ni manzi yako peke yako akiwa kwako
Akitoka nnje ni mali yetu
So kula, so kula, so kula vako

[Kid Kora]
Huku Nairobi tunapenda weekend
Tunaparty kila siku hadi wiki i-end
Tunaweza kuwa crazy, ndunda on the daily
Ombitho lazima na gethaa si 4:20
Sato tuko club na sunday tuko kanisa
Tunanuka frozol lakini soul is the preacher
Najua kuna watu nime-offend
Lakini vitu zi-huhappen na siwezi pretend

[Chorus]
I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(vako)

I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(Vako)

[Chorus]
I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(vako)

I say kula vako(Kula vako)
I say, I say kula vako(Kula vako)
Holup(Vako)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kula Vako (Single)


Copyright : (c) 2019 Kaka Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE