Bombaa (Remix) Lyrics

Bombaa bomba iyo
Bombaa
Yake nyama bila mfupa mi nameza
Akinipa sitasita mi nitameza
Akipandisha na mori nalegeza
Haya mapenzi Kayumba umekoleza
Chuchumaa unibonde unipe mayo
Uniteke mimi toto la Nairobi
Kajala na makonde, waone choyo
Insta tuwakomeshe kwa yetu kiki
Hata akifumania poa tu (Poa tu)
Ata nikule fare poa tu (Poa tu)
Mi nang'angania poa tu (Poa tu)
Njoo nishejifie poa tu (Poa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu)
Mwenzenu nagawa weka tuweke (Poa tu)
Nikimwona napanda kidete (Poa tu)
Uwo uwo uwoo (Poa tu)
Natamani nikatongoze mara ya pili hapo vipi?
Bombaa bombaa
Anitilie limbwata akoroge akili, hapo vipi?
Bombaa bombaa
Eh hapo vipi, bombaa bombaa hio
Ipo vipi, bombaa bombaa hio
Eh bwana vipi, bombaa bombaa hio
Ipo vipi, bombaa bombaa hio
Cherie baby mama cherrie o
Anipa kazi moto mwenye kazi o
Ey ndani joto siyaki feni o
Aninogesha na vyake vilio
Mapenzi hayana nuna
Uchebe kawai gumba
Penzi pepo la kimbuga
Likichanganywa na dumba
Hata akifumania poa tu (Poa tu)
Aseme nina mwana fia poa tu (Poa tu)
Mi nang'angania poa tu (Poa tu)
Ndo nishajifia poa tu (Poa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu)
Mwenzenu napewa weka tuweke (Poa tu)
Nikimwona napata kidete (Poa tu)
Uwo uwo uwoo (Poa tu)
Natamani nikatongoze mara ya pili hapo vipi?
Bombaa bombaa
Anitilie limbwata akoroge akili, hapo vipi?
Bombaa bombaa
Eh hapo vipi, bombaa bombaa hio
Ipo vipi, bombaa bombaa hio
Eh bwana vipi, bombaa bombaa hio
Ipo vipi, bombaa bombaa hio
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sweet Pain (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAYUMBA
Tanzania
Kayumba Asosie is a singer/songwriter / artist from Tanzania. He is best known for love so ...
YOU MAY ALSO LIKE