Sitachoka Lyrics

Aah sitachoka mimi
Yesu yuko upande wangu sitachoka
Ulinifia niokoke
Ata kama sikuwepo mimi
Ulie ni kwa msalabani
Moyoni naamini
Nikadhani nitabobea
Kimaisha nitatoboa ila
Ona leo nateseka
Hata riziki sina
Pole pole ndo mwendo sawa
Haraka haina baraka sana
Aii sitakimbia kabla
Hallo baba nijalie
Nachorea kulalamika
Akikawia tena sitadandia
Yangu yakikawia
Mwisho atanipa wakati wake
Mi sichoki, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Sitachoka, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Wengi wanashuhudiaga
Vile unawatendeaga
Hata na mimi bwana eeh
Nibariki nione
Niepushe na wao wale
Wenye mawazo mabaya
Nisije shikwa na tamaa
Mwishowe nikusahau
Iyaa niepushe nao
Niwe mbali nao aah
Unitenge nao
Nisije kuwa kama wao
Iyaa niepushe nao
Niwe mbali nao aah
Unitenge nao
Nisije kuwa kama wao
Nachorea kulalamika
Akikawia tena sitadandia
Yangu yakikawia
Mwisho atanipa wakati wake
Mi sichoki, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Sitachoka, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Mi sichoki, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Sitachoka, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Mi sichoki, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Sitachoka, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Mi sichoki, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
Sitachoka, zamu yangu inakuja
Najipa moyo, muujiza wangu bado upo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sitachoka (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE