Najileta Kwako Lyrics

You're my strength Lord
You're my healer Jesus
You're my everything Jesus
Take control of my situation Lord
Hallelujah Jesus
Kwako kwako bwana
Ninaleta shida zangu kwako
Kwako kwako bwana
Naleta mizigo yangu kwako
Nitue mizigo yangu bwana
Panguza machozi yangu Yesu
Ni wewe msaada wangu
Ni wewe mkombozi wangu
Hallelujah
Nipiganie Yesu
Moyo wangu umeinama
Hali yangu imedorora
Ripoti ya daktari yavunja moyo
Maneno ya daktari yavunja moyo
Njoo bwana niguze moyo
Maadui zangu wananicheka bwana
Wanasema nimewezwa nitakufa mimi
Shuka fanya miujiza yako
Kwako kwako bwana
Ninaleta shida zangu kwako
Kwako kwako bwana
Naleta mizigo yangu kwako
Nitue mizigo yangu bwana
Panguza machozi yangu Yesu
Ni wewe msaada wangu
Ni wewe mkombozi wangu
Mungu wangu nipiganie vita
Teta na wanaoteta nami bwana
Nitegulie mitego Yesu
Guza maisha yangu niponye bwana
Wakati kama huu naomba kuskia sauti yako bwana
Wakati kama huu, ni wewe wanielewa
Wakati kama huu, ni wewe wanifahamu
I give my situation to you
Jesus, I give my situation to you
Wewe unazo nguvu za kuondoa kuchekelewa
Tena una uwezo wa kuyafuta na madeni
Waondoa aibu unavika utukufu
We kutana na haja ya moyo wangu
Kwako kwako bwana
Ninaleta shida zangu kwako
Kwako kwako bwana
Naleta mizigo yangu kwako
Nitue mizigo yangu bwana
Panguza machozi yangu Yesu
Ni wewe msaada wangu
Ni wewe mkombozi wangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Najileta Kwako (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JUSTINA SYOKAU
Kenya
Justina Syokau is a born again Kenyan Award winner Gospel Artist and a motivational speaker from Mac ...
YOU MAY ALSO LIKE