Nifiche Lyrics
Nifiche
Nifiche
Nifiche
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
To abide in you Lord and for you to abide in me
Is the only way to live,
The only way a branch that i can frutfully live
Mimi natamani kuishi ndani yako
I long to live in your love oh Lord,
Sifa na utukufu kwako,
I surender my will to you ooh Lord,
Ju hakuna mkulima kama wewe, Anaye safisha matawi kama wewe,
Wanifanya nikae kama wewe,
Ewe mzabibu wa kweli,
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
As i am an empty vessel only you can fill,
Mwenye moyo wangu,
Eeh mfinyanzi wangu nijaze na roho wako baba,
I'll be in yourself untill i look like you,
Can't do nothing at all without you
Mwenye roho yangu,
Eeh mfinyanzi wangu nijaze na roho wako baba,
Ju hakuna mkulima kama wewe,
Anaye safisha matawi kama wewe,
Wanifanya nikae kama wewe,
Ewe mzabibu wa kweli,
You Lord are the true vine, we are only the branches
And we are sheltered in your vines, to be fruitful every design,
You Lord are the true vine
And am just a branch,
Help me, help me
Help me, help me
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
Usipo usipo baba
Siwezi kufanya lolote
Nifiche nifiche kwako,
Nizae matunda mengi
Nifiche nifiche
Usipo usipo
Nifiche nifiche
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2015
Album : Conquerer / Nifiche (Album)
Copyright : ©2015
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
JOYCE OMONDI
Kenya
Joyce Omondi Waihiga is a gospel singer and songwriter who loves leading people in worshiping the Ki ...
YOU MAY ALSO LIKE