Tawala Lyrics

Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Alisema linda moyo, kuliko kilakitu ulindacho
Tena bila roho mimi, sitaweza ilinda yangu moyo moyo
Roho wako ilite
Roho wako ilite
Nipate yako moto
Nitawaliwe na wewe, niongozwe na wewe
Nitawaliwe na wewe, niongozwe nawe
Mimi niwe safiii safi kweli
Niwe safi safi kweliii
All I need is your grace
Siku zangu zote ziwe parapanda
Nikuabudu kilasiku kwa kinanda
Nikuambiye gisi gani nakupenda
Ukidja leo kesho nita panda
Heeee nataka nikuone, munguwangu nataka nikuone
Heee nataka niku guse, mungu wangu minataka nikuguse
Mungu wangu minataka nikuguse
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Wewe njo ulinipenda wa kwanza
Ukashuka toka mbinguni
Ukanifiliya msalabani, ukachukuwa dhambi zangu
Emanueli nakupendaaaa, emanueli nakupenda sana
Emanueli nakupendaaaa, emanueli nakupenda sana
Emanueli nakupendaaaa, emanueli nakupenda sana
Emanueli nakupendaaaa, emanueli nakupenda sana
Penda penda namupenda kukupenda
Penda penda namupenda kukupenda
Penda penda namupenda kukupenda
Penda penda namupenda napendayoo
Namupenda napendayoo
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Shangwe vigelegele nduru tupige makopi
Vivi djonde remo Yesu juu
Shangwe vigelegele nduru tupige makopi
Vivi djonde remo Yesu juu
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
Tawala, tamalaki Baba, tawala
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Tawala (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE