Baba eeh Lyrics
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Yahweh you are good to me (So good, so good)
You've done marvelous things in my life
You are the King of Kings
You are the Prince of peace
Oooh Yahweh, eeh
Umuishie ooh mwamba wa imara, Amen
Ninakuinua oooh Simba wa Yuda, Amen
We ni mwema unanipenda tu
We ni mwema unanipenda tu
---
---
Asante kwa kunipenda
Asante kwa msamaha
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Pahali papa leo, nasikia vinanda
Nina raha leo, nasikia kuimba
Hayibo Hayibo, umenifuta machozi
Hayibo Hayibo, umenifanya leo nang'ara
Maneno ya kusema yananikosa
Midomo natetemeka eeh kabisa
Hayibo Hayibo, umenipaka mafuta kwanza
Hayibo Hayibo, nachekelea mtu wa Mwanza
Nimekubali, wewe kiongozi(Haya twende)
Nimekubali, chungu wewe ni mwalimu(Haya twende)
Mimi nimekubali, ukaendelee(Haya twende)
Nimekubali, utangulie tu(Haya twende)
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
Baba eeh Baba
Kama si wewe mimi si kitu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Baba eeh (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JOLLY TWINS
CONGO (DRC)
Jolly Twins are gospel singers, community workers from Congo. They are often based in Kenya and Tanz ...
YOU MAY ALSO LIKE