Nalewa Lyrics

Mi kwako paka we panya ee
Kiuno mixer unavyonichanganya ee
Kitandani longo longo unapotupa kaanga
Zege ni kokoto, ushanifanya kanga
Shepu mwana mitindo
Na nyuma kamebeba Migingo
Kanavyokata kanungo
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Nipe sangalewa
Mr lover lover
Yet I mean to you
Oooh baby come over
Woun't you be my boo
Maana uzuri wako tabia yako
Umbile lako mienendo yako
Unafanya nivavange natoka jasho
Ili milele niitwe wako
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Nipe sangalewa
Ayee, ayee, ayee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nalewa (Single)
Copyright : (c) 2020 We Global Entertaiment.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MADINI
Kenya
Jay Madini is an artist from Kenya signed under We Global Entertaiment. ...
YOU MAY ALSO LIKE