Uwe Hai Lyrics

Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo
Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika
Tena Mimi Niko Naweza kukutunza, kwa Neno la Kinywani mwangu
Na utayalalia haya Maneno
Kisha na mkono wangu
utakandamiza malengo ya wabaya
Maana Mimi Niko
Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu
Uwe hai, natamka, uwe hai.
Uwe hai, eweee Uwe hai
Uwe hai, eweee Uwe hai
Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai
Wee mifupa mikavu ewe uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake
Eti uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake
Eti uwe hai
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema
Uwe hai, eweee Uwe hai
Uwe hai, eweee Uwe hai
Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai
Wee mifupa mikavu ewe uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake
Eti uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake
Eti uwe hai
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : ©12stonesRecord
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ISRAEL MBONYI
Rwanda
ISRAËL MBONYI born ISRAËL MBONYICYAMBU on May 20th 1992 in the Southern province of ...
YOU MAY ALSO LIKE