NIREHEMU BABA YANGU Lyrics

Aliniona bwana akaniwaza kuwa mwaminifu
Akatunza neno lake ndani ya mwoyo wangu
Kaufunguwa upendo wake wa thamani
Na kunipenda mimi
Maana aliniwaza kuwa mtu apendekae
Ole wangu bwana wangu uuh
Nimara ngapi nime kuvunja moyo
Nimara ngapi nimekuabisha
Nina majonzi mengi moyoni baba maana
Sikuenenda sawa na mapenzi yako
nani ataniponya haah isipo kuwa wewe
nirehemu baba yangu
Mbele ya wali mwengu
Nina mfano wakuaminika
Lakini nilicho kweli
Ninajua mwenyewe
Ole wangu kama nitapimwa
Nakukutwa napungua
Bwana niwezeshe kauli yangu
Iwe ndiyo matendo
(Bwana aaah kauli yangu uuh matendo)
Ole wangu bwana wangu uuh
Nimara ngapi nime kuvunja moyo
Nimara ngapi nimekuabisha
Nina majonzi mengi moyoni baba
Maana
Sikuenenda sawa na mapenzi yako
nani ataniponya haah isipo kuwa wewe
Nirehemu baba yangu
Mbele ya wali mwengu
Tuna mfano wakuaminika
Lakini tulicho kweli
Tunajua wenyewe
Ole wetu kama tutapimwa
Nakukutwa tunapungua
Wakati ni sasa kurekebisha mienendo yetu
(Ahahahah miendendo yetu)
Ole wangu bwana wangu uuh
Nimara ngapi nime kuvunja moyo
Nimara ngapi nimekuabisha
Nina majonzi mengi moyoni baba
Maana
Sikuenenda sawa na mapenzi yako
Nani ataniponya haah isipo kuwa wewe
Nirehemu baba yangu
Ole wangu bwana wangu uuh
Nimara ngapi nime kuvunja moyo
Nimara ngapi nimekuabisha
Nina majonzi mengi moyoni baba
Maana
Sikuenenda sawa na mapenzi yako
nani ataniponya haah isipo kuwa wewe
Nirehemu baba yangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : NIREHEMU BABA YANGU (Single)
Added By : Florent Joy
SEE ALSO
AUTHOR
AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR
Rwanda
Ambassadors of Christ Choir is a choir located in Kigali, Rwanda. Created in 1995, this choir ...
YOU MAY ALSO LIKE