Home Search Countries Albums
Read en Translation

Sara Lyrics


Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weee sara mama

Sara wewe

(Sema maneno yako ya mwisho)

Hello mambo vipi natumai, nyote mko salaama

Uku mjini bado ngumu kazi ila nang'ang'ana

Kukosa sio kosa naomba unielewe babie

Kukopa nakopa mjini nimejaa madenii

Kuota naota ndoto nikiendesha range

Ila yoote, tisa kumi, niombee mwenyeziii

Miaka tano hatujaonana, ivi uko vipii?

Natumai yuh salama, kila kitu swalii

Mwanangu tiffa natasha, vipi yake halii?

Akiulizia, mpe moyo mwana, ipo siku nitarudiii

Oh my nilikosea, anisamehe nzambee

Hii shilingi, pata potea

Mfukoni ukamee

Me najua,,, nilipotea,,, ulidhani starehe

Umaskini,, ila nombeeee

Kwenye hu mziki nipepeee

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weee sara wewe

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weee sara wewe

Ata wani, pige mawe, bado niko na wewe

Moyo wangu, upo nawe, ata dunia niage

Msalimu, na mamangu, mwambie nampenda

Mpe nguvu, oh babangu, mwanae nitapenya

(Bolingo bwa nzambe Boleki bonene

Bolingo bwa nzambe Boleki bonene)

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weeee sara wee

Sara weee sara

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Iodine Kenya

SEE ALSO

AUTHOR

IODINE KENYA

Kenya

Martin Nkonge popularly known as Iodine Kenya is an East African Afro Bongo musician from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE