Home Search Countries Albums

Zombie

IDDI SINGER Feat. MERCURY

Zombie Lyrics


Nachotaka ni we around me
Ukiwa mbali nimikasa
Umefanya niwe kama zombie
Wanasema umeniwasha
We ni buyu na mi ni rangi
Penzi letu litapasha
Kwako tight kuzuga sitaki
Utamu wote mi napata

Kama saa ya majira kwake mi nasimama
Napoteza dira kama teja mi nazima
Na zangu hisia kwake mi nimekwama
Baby just leave it right there
Kwake mi ugali bila mboga nitashiba
Hata nidhurike na maradhi ye ndio tiba 
Hodari akiwa saba kiungo nane mi napiga
Baby just leave it right there
Anadeka nikiwambia kumuimbia
Jinsi ninavyompenda yee
Anacheka akinilalia kutulia
Kufuli yangu ufunguo ni yee
Anadeka nikiwambia kumuimbia
Jinsi ninavyompenda yee
Anacheka akinilalia kutulia
Kufuli yangu ufunguo ni yee
Vile umejibeba
Watapata tabu sana watakesha
Wakiomba sana mi nawe kuteta
Niko sure na ndio maana mi napeta ahh
Vile umejibeba ahh
Watapata tabu sana watakesha
Wakiomba sana mi nawe kuteta
Niko sure na ndio maana mi napeta ahh

Nachotaka uwe around me
Ukiwa mbali nimikasa
Umefanya niwe kama zombie
Wanasema umeniwasha
We ni buyu na mi ni rangi
Penzi letu litapasha
Kwako tight kuzuga sitaki
Utamu wote mi napata yeah

Ahh walinikataa
Sifa mi nakupa hawafiki unag'aa
We ni chuma umeniweza we kifaa
Shepu rangi wapendeza wanifaa
All i want is your love
Kwako mi napata endlessly 
I wont play with your heart
Mia mi nakupa sichezi
Hivyo hivyo
Napenda jinsi ulivyosimple simple
Unapendeza na vidimple dimple
Wanatamani uwe single single
Hivyo hivyo
Napenda jinsi ulivyosimple simple
Unapendeza na vidimple dimple
Wanatamani uwe single single
Vile umejibeba
Watapata tabu sana watakesha
Wakiomba sana mi nawe kuteta
Niko sure na ndio maana mi napeta
Vile umejibeba
Watapata tabu sana watakesha
Wakiomba sana mi nawe kuteta
Niko sure na ndio maana mi napeta

Nachotaka ni we around me
Ukiwa mbali nimikasa
Umefanya niwe kama zombie
Wanasema umeniwasha
We ni buyu na mi ni rangi
Penzi letu litapasha
Kwako tight kuzuga sitaki
Utamu wote mi napata yeah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Swa RnB (EP)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

IDDI SINGER

Kenya

Iddi Singer is a Kenyan Singer/songwriter/artist based in Mombasa. He is best known as a vocali ...

YOU MAY ALSO LIKE