Home Search Countries Albums

Yesu Sio Mwizi Lyrics


Mmh ooh ooh
Ooh ooh

Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo wangu
Yesu si police anifunge
Ananibeba bembeleza
Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazma atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu naye natamani
Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo wangu
Yesu si police anifunge
Ananibeba bembeleza
Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazma atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu naye natamani

Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli

Okhusubirira mu mwami
Nobulai mumwoyo kwanje
Okhulonda amalako kake
Embulira ashuya eshikhaya
Yesu nomulina wa toto
Okholanga amalako kake
Yesu nomulina wa toto
Okhuba ahembi ninae enjamanga aah

Yesu Yesu nomulina
Emulolanga bane
Yesu Yesu nomulina
Amalako kake toto
Yesu Yesu nomulina
Emulolanga bane
Yesu Yesu nomulina
Amalako kake toto

Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli

Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake saima nimepata uzima na amani
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake saima nimepata uzima na amani

Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki
Nimemuona dhabiti
Yesu Yesu ni rafiki
Ahadi zake kweli

Neno lake bwana ni kweli na amina
Ahadi zake kweli
Akiahidi kitu lazma atatenda
Ahadi zake kweli
Mungu ni mwaminifu ooh
Ahadi zake kweli
Ahadi zake kweli (Ahadi zake kweli)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Yesu Sio Mwizi (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

GUARDIAN ANGEL

Kenya

Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...

YOU MAY ALSO LIKE