Sweety Surprise Song Lyrics

Sasa nyumba moja, kitu kimoja tuwe pamoja
Mwili mmoja
Sasa nyumba moja, kitu kimoja tuwe pamoja
Mwili mmoja
Sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Leo nyumba moja (Moja)
Kitu kimoja (Moja)
Mungu ametuweka pamoja
Leo nyumba moja (Moja)
Kitu kimoja (Moja)
Mungu ametuweka pamoja
Ai sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Ai sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Walitupasha sana baby
Wakatupa masiku oh baby
Bado tunapendana mani
Leo tunaoana oh baby
Walisema mchana usiku wakalala
Bado tunapendana, leo tunaoana
Walisema mchana usiku wakalala
Bado tunapendana, leo tunaoana
Kata Kata (Kata)
Kata my baby kata (Kata)
Cheza na mimi kata (Kata)
Siku yetu imefika
Kata Kata (Kata)
Kata my baby kata (Kata)
Cheza na mimi kata (Kata)
Siku yetu imefika yeah
Sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu kimoja tuwe pamoja
Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu kimoja tuwe pamoja
Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu kimoja tuwe pamoja
Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu kimoja tuwe pamoja
Sweetie sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Hey sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
My sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
Walisema mchana usiku wakalala
Bado tunapendana, leo tunaoana
Walisema mchana usiku wakalala
Bado tunapendana, leo tunaoana
Sweetie baby love
Haikuwa rahis, tufike leo hii
(Asanta)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Sweety Surprise Song (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GUARDIAN ANGEL
Kenya
Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...
YOU MAY ALSO LIKE