Home Search Countries Albums

Bizz ni Bizz

ETHIC

Bizz ni Bizz Lyrics


Tufungue biz, tufungue hoteli
Tufungue wines ama tufungue Mpepe
Ama twende wathii tushike mamali
Alafu twende tuuze area za mababi

Tushike stock tuuze mangwai
Rada ikiwa chafu tusare kuzingati
Ama tuuze cladi, 3D mashati
Ama tubuy senke ikue ya kubeba

Ama tubuy mat tuzange maraundi
Ama tubuy senke ikue ya kubeba
Ama tuuze duya esasi na moli
Ama buy doggy tuteke mapuppy

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Umebonda ni ka dem wa MPESA
Ukidunga kuna vile we hutesa
Wacha kwanza kazi tufunge mapema
Tupitie mrambe tupige kama chaser

Mguu zote za left jo, punguza malejo
Ati unanihate babe I can be your mental
Na siwezi kulet go labda nisare lejo
Na nikifika late jo, we hujam

Nikishika ngaji mob we hukam
Baby si univulia we hunikalia 
Nataka unishow which way tutapitia
Nataka unishow which way tutapitia

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Mi utanipata kwa baze ya vibanda za Maggy
Nikishikisha mamanzi mapanty
Alafu nikimbilie maluku za mabrathe 
Aisee fika bei unapendaga kubargain

Buy tatu nikuongeze moja
Ngoja leo usiniambie bana ati umesota
Nakujua unapendaga kukopa oya naogopanga kurudi ocha
Mbaya mbaya naogopa kusota so siwezi lala
Ukidai lebo ficha kipara 
Kam kwa duka tutanego hatuwezi kosana

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Napiga biz ka msap, mhindi na mwarab
Faida ni a must na avoid to ma loss
I be my own boss so hadi naweza floss
Ni biz hadi ndani si kitu mi naforce

Siku hizi kufuata ganji 
Ngumu kufanya chores
Nakaa kusaka kazi nadai ya kanjo
Kosa kulipa tax, unisaidiange rob
-- napiga ma research 
Ukinipata across naincrease ma supply
Demand nikisize so wasee biz wise
Unaeza ni advice niko sure siwezi burnt..

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Shughli ni shugli ka jo imejipa
Bizz ni bizz ka jo imejipa 
Mboka ni mboka ka jo imejipa

Unadeal na dollar ama unadeal na euro
Unadeal na pound ama unadeal na bitcoin 
Unadeal na dollar ama unadeal na euro
Unadeal na pound ama unadeal na bitcoin 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Bizz ni Bizz (Single)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ETHIC

Kenya

Ethic , ' Ethic Entertainment' is  a music Group from Kenya formed in 2018. Ethic Enter ...

YOU MAY ALSO LIKE