Home Search Countries Albums

Made in Kenya

EKO DYDDA

Made in Kenya Lyrics


M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya
M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya

Tumejenga Joberg bado Nai
Throw back 2009
Kujiunga na Holy Dave buda ni might
Nikijenga bro bado ni mine

Warning to my brothers niite Warner Bros
Kenya haujajenga so ni nani ana grow
Tv badala kucheza local , inaanzaga na bongo, maliza jomeka
Wachezaji wetu tunawajuaga kukisha chomeka 

Blogger awezi sifu upcoming 
Anangoja umake it akupige ngeta
Zao ni kumwaga zetu unga 
Ndio wapate unga alafu see you later

Media wana lighters
Ready kutuchomea picha
Wale wanabonga upuzi 
Ndio wataonyeshwa wengine fichwa

Ati gari zenye napenda ni Hammer
Ngoma zenye napenda Rihanna
Na me sipendi local basi hama

Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa 
Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa
Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa
Siri, siri, siri
Nnikujenga Kenya jenga Kenya alafu jenga inje

M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya
M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya

Ati gang gang ndio who
Tujenge ndugu
Made In Kenya 
Buda kitenge ndio look

Ati fake stuff from abroad ikembe ndio cool
Our farmers wana rot jembe ndio tool
Buda sunijenge na book siniwasomi hadi kitenge na boo 

Mweshimiwa ni za macho badala afunze fishing
Tuko eating competition wote tuna dishi
Corruption tangu enzi za B.C 

Miaka zinaenda
Omba omba (2020) 
Wengi ni ma begger
Uliza Goldberg.

Kupenda wenzetu imekuwa impossible 
Nikaa kuwekewa jacuzzi jela
Si, we are oozing jealousy

Eeeh show brother man loving
Share little we having
Akifanya poa makofi we serve him
Sioni haja ya kukunyoa na Makas kama Garvey 

Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa 
Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa
Haa, Tujijenge support ile made in Kenya haa
Siri, siri, siri
Nnikujenga Kenya jenga Kenya alafu jenga inje

M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya
M.I.K, M.I.K, M.I.K 
Made In Kenya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Made in Kenya (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

EKO DYDDA

Kenya

EKO DYDDA is a Gospel Hip Hop Musician from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE