Abdala Lyrics
Kaskazini kuna makwela
Tusker tusker mbili pewa na chaser
Cheki wanabonga ati ju si tunatesa
Vunjika shingo ju nyuma imewesa
Abdalla dalla baby dalla
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rumba za wababa
Tuzirushe mikono ju ngoma inabamba
Nyongi ya nani iko dororo
Huwezi place bet na kasimu Motorollo
Domo ting ye hupenda yangu chini lolo
Ju ya D chuo kugeuzwa soko soko
Koko jiko kwera shimo wera iko
kokoriko niite jogoo pewa mwiko
Mbleina siko mashiro naitwa Shiko
Na kachipo Abdalla kaingia tiko
Kaskazini kuna makwela
Tusker tusker mbili pewa na chaser
Cheki wanabonga ati ju si tunatesa
Vunjika shingo ju nyuma imewesa
Abdalla dalla baby dalla
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rumba za wababa
Tuzirushe mikono ju ngoma inabamba
-----
----
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Abdala (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE