Home Search Countries Albums

PESA Lyrics


Bora iende (yo! ) Bora iende

 

Kazi kutoka kina music… Butera knowless, Indatwa

Kama pesa ndiyo chanzo cha haya
Bora iende
Kama pesa ndiya chanzo cha haya
Bora iende
Mwanzo penzi letu lilikuwa bora
Bila pesa mfukoni
Mapenzi yetu bila pesa yalikuwa raha
Sitaki karaha

Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende

Zamani nakumuka
Hali ya maisha yalikuwa mbaya
Usafiri wetu ulikuwa boda boda
Mboga bora ilikuma matembele yetu
Tuliafanya kwa furaha
Mapenzi yetu yali shabili
Nyumbani ilikuwa Amani na mahaba
So
Kama pesa ndio tabu
So
Sina haja tena nazo
So
Tuziache tuende zetu
Ila tu ishi kwa amani

Kama pesa ndiyo chanzo cha haya
Bora iende
Kama pesa ndiyo chanzo cha haya
Bora iende
Mwanzo penzi letu lilikuwa bora
Bila pesa mfukoni
Mapenzi yetu bila pesa yalikuwa raha
Sitaki karaha

Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende

Wahenga walisema
Pesa ndio sabuni ya roho
Sasa iwe je, leo mimi na we
Badala faraja
Badaa ya dhiki imekua fedhea
Pamoja na pesa nyumbani, hakuna Amani
So…
Nakama pesa ndio tabu
So…
Sina haja tema nazo
So…
Tuziache tuende zetu
Ila tu ishi kwa Amani

[CHORUS )
Kama pesa ndiyo chanzo cha haya
Bora iende
Kama pesa ndiyo chanzo cha haya
Bora iende
Mwanzo penzi letu lilikuwa bora
Bila pesa mfukoni
Mapenzi yetu bila pesa yalikuwa raha
Sitaki karaha
Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende (Pesa)
Bora iende
Kina Music…
Bora iende… Bora iende… Bora iende
Bora iende… Bora iende… Bora iende
Bora iende… Bora iende… Bora iende

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 0


Album : Pesa (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

DREAM BOYZ

Rwanda

Dream Boys is a Rwandan R&B group composed of two chilhood friends Nemeye Platini (known as Plat ...

YOU MAY ALSO LIKE