Waah! Parody (Diamond Platnumz ft Koffi Olomide) Lyrics

Tunaingia akitoka waah!
Tunaingia akitoka waah!
Tunaingia akitoka waah!
Tunaingia akitoka waah!
Tamu tunyonye nawe
Tamu hii chukua
Tamu tunyonye nawe
Tamu tunyonye nawe, tamu
Tamu tunyonye nawe
Oh mumeo, mumeo ameshaishia
Hii maneno maneno umeshazoea
Mume wako ni mbaya kwani huonangi
Doshi yake ndogo hata hawezani
Na mume wako malaya wewe unaogopa nini?
Tumekuja kwa ubaya na round hii lazima utupatie
Uniachie nianze, nianze
Uniachie nianze, ni ni nianze
Uniachie nianze, nianze
Uniachie nianze, ni ni nianze
Tufanye basi unipatie kidogo
Kukuacha siwezi na masweet niko nazo
Lakini ukininyima
Nitachukua na kuweka aah
Nitachukua na kuweka aah
Nitachukua na kuweka aah
Nitachukua na kuweka aah
Nitakuzalisha mtoto
Toa leso nikupe
Si unataka mtoto
Toa leso nikupe
Kuna mtu mlangoni, tujitetee
Eeh mzee amerudi, tujitetee
Oya tufanye nini, tujitetee
Long-i ifungwe, tujitetee
Kuna mtu mlangoni, tujitetee
Eeh mzee amerudi, tujitetee
Oya tufanye nini, tujitetee
Long-i ifungwe, tujitetee
Mashetani yashindwe
Shetani ashindwe
Mashetani yashindwe
Shetani ashindwe
Sasa pokea, pokea pokea
Sasa pokea, pokea pokea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Waah! Parody (Diamond Platnumz ft Koffi Olomide) (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE