Such Kinda Love Parody (Otile Brown ft Jovial) Lyrics
Nyi vijana wa Nairobi mna tamaa ya fisi
Nazo roho mwajua kuvunja
Tabia zenyu mnatamani wamama
Mapenzi hayabadiliki
Nazo mimba mnavyoziruka
Kama Embarambamba
Kifo cha mende pekee (Ooh)
Ploti kwa ploti (Ooh)
Daily ni doshi
Mwakulana nyama kwa nyama (Ooh)
Upele Gonorrhoea
Vijana mbona mwatudanganya?
Hapa Nairobi chali wengi mko na tabia mbaya
Tabia mbaya mnahanyana
Hapa Kanairo manzi wengi mko na tabia mbaya
Tabia mbaya mnapenda doh
Hata wewe unajifanya na unapenda kula fare
Ulikula ya Omondi pesa zake ya mjengo
Tena wewe, wewe ulilala kwa jirani
Ukatoka asubuhi na unadhani mi sijui
Ukameza P2 usipate ball
Nakujua vizuri we Diana
Ukameza P2 usipate ball
Nakujua vizuri we Diana
Na ndo maana siamini mamanzi
Wanapenda kuparty Monday to Monday
Wanapenda sana kuparty Monday to Monday
Walewa sana siku ya birthday
Hapa Nairobi chali wengi mko na tabia mbaya
Tabia mbaya mnahanyana (Mmmh bladiflakin)
Hapa Kanairo manzi wengi mko na tabia mbaya
Tabia mbaya mnapenda doh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Such Kinda Love Parody (Otile Brown ft Jovial) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE