Home Search Countries Albums

Baba Lao Lyrics


(Its S2kizzy beiby)
(Ayolizer)

Dangote baba lao(Baba lao)
Simba baba lao(Baba lao)
Chibu baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh Zombie baba lao(Baba lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Makonda baba lao(Baba lao)
Wasafi chama lao

Ngoma kwa ngoma ni kopo kopo
Leo ndani twakesha popo
We utasambazia moko moko
Moja baridi moja moto

Mmechoka eti?(Aaah wapi)
Mnataka lala?(Aaah wapi)
Tungi limezidi?(Aaah wapi)
Tuzime muziki?(Aaah wapi)

Sasa twende kisa mjini sambamba
Hapo vipi inabamba 
Inogile inatamba
Basi chanika msamba eeh

Wataweza kweli?(Aaah wapi)
Kushindana nasi(Aaah wapi)
Hata wakiungana(Aaah wapi)
Matusi kututukana(Aaah wapi)

Dangote baba lao(Baba lao)
Simba baba lao(Baba lao)
Chibu baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh Zombie baba lao(Baba lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Mwakiembe baba lao(Baba lao)
Wasafi chama lao

Majib Selema
Hadija Selema(Selema)
Mwambie nyangema 
Ni shimo ametema(Ametema)

Amefosi bifu mseleleko
Eeeh tumemkwepa
Amebaki masononeko
Eeeh wanamcheka

Kwanza kunja gaju(Eeh kunja gaju)
Kisha vua shati(Eeh vua shati)
Cheza kama monkey aiii
Vunja ukidaki danki

Eeh tumewachapa(Kidude)
Hakichomoki(Kidude)
Kimewanasa(Kidude)
Wanatapatapa(Kidude)

Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh

Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh

Dangote baba lao(Baba lao)
Simba baba lao(Baba lao)
Chibu baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh Zombie baba lao(Baba lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Majaliwa baba lao(Baba lao)
Wasafi chama lao

Shuka ukipanda 
Na hili shati navua(Acha uongo)
Shuka ukipanda 
Na hili bukta navua(Acha uongo)

Jamani navua(Acha uongo)
Mama navua(Acha uongo)
Mwenzenu navua(Acha uongo)
Eeeh kuna BASATA!

Basi napiga Yope(Huwezi)
Oooh napiga Yope(Huwezi)
Yogo napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 

Tale napiga Yope(Huwezi)
Mi napiga Yope(Huwezi)
Momo napiga Yope(Huwezi)
Fumbwe napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Baba Lao (Single)


Copyright : (c) 2019 Wasafi Records


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE