Amanda Lyrics
amanda amanda eh
amanda amanda eh
amanda amanda eh
kwanza anakunywa bia kama anasinzia amanda
macho kama anasinzia
nikiumwa na kichwa ye ndio nurse amanda
kitandani anavyoparamia komando (amanda)
kipato changu kidogo ameridhia
nashangaa unaleta shobo wataka niharibia
oh nakesha kuvunja nazi amanda
oh mwambie kwetu anajipa kazi amanda
amanda amanda eh
amanda amanda eh
amanda amanda eh
kwanza anakunywa bia kama anasinzia amanda
macho kama anasinzia
nikiumwa na kichwa ye ndio nurse amanda
kitandani anavyoparamia komando amanda
kipato changu kidogo ameridhia nashangaa unaleta shobo wataka niharibia
oh nakesha kuvunja nazi amandao mwambie kwetu anajipa kazi amanda
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : A boy from Tandale (Single)
Copyright : (c) 2018 Wasafi Records.
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
DIAMOND PLATNUMZ
Tanzania
Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...
YOU MAY ALSO LIKE