Accueil Recherche Pays Albums

Sondeka Freestyle

DELO

Sondeka Freestyle Lyrics


First thing first Epuka kisha Sondeka 
Kama siko stage wako stage niko mboka
Kama siko mboka niko stage wanachoka 
Cheki juu chini manze watu wameoga 

Standing middle finger kwa watu wana ushoga 
Hiwezi keti hadi siku utaanza kujibonga
Future ina figa mbele sitaki kusota 
Nina jenga lami ndio nisiumwe na manyoka 

Huwezi nipata shambani mdomo jo mogoka 
Kaschana funga soko heri jo ufungue duka 
Mistari kutoka shule sasa wanadai kukopa 
Theonlydelo Gold hao wengine labda copper

Hawa watu ni wezi na haweniwezi 
Ha, Hawa ni wezi na hawatuwezi
Kama game ni chafu nimepiga tizi miezi
Sondeka na ma hanjam kula fiti umepata chizi. 
Sondeka Yo! 

Sitambui umama natambua my mama
Kijana si wa juzi kijana jo si wa jana
Ukileta ka panganga unakutwa na madaga 
Unacheza tu na pongi unapata ni ya ka mama

Kula bata bana uone jogo akianza umama 
Ma fala wa kupandana Epuka jo laana 
King ndio kufika naogopwa hadi na waganga
Leta zig zogo pigwa Ex ki wakanda

Big up mid Zogo namba nane tuliwapanga 
Futa, Dimba manze jo Ah!  Sio mimba 
Big up kwa wale madem wote nimekemba 
X, Y, Z manze nimesahau jina

Fala apigwe Z ndio a T 
Gala apigwe D ndio a Shhh akimeza
Mala kilalo ndio zako za kutesa 
Kiriku mdogo ndio sasa anawabeba
ALO

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Sondeka Freestyle (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DELO

Kenya

Delo aka TheOnlyDelo is an artist from Kenya.Delo is also known as 'The King of Genget ...

YOU MAY ALSO LIKE