Home Search Countries Albums

Najua Lyrics


Baraka zako
Kweli me nimejionea
Na mkono wako
Kutwa kucha umeninyoshea
Mimi ni wako
Tena mimi sitapotea
Na neno lako
Moyoni nimejiwekea
Wakati me sikuwa na kitu Baba (ulinishikilia)
Wakati me sikuwa na kitu Baba

Ndio me nataka nikilala (nakuona tu Baba)
Eeehh na nikiamka (nakuona tu Baba)
Na me nataka nikitembea (nakuona tu Baba)
Eeehh na nikiongea
Kwani najua (najua)
Najua (najua)
Umenishika kwenye mikono (mikono ooh)
Najua (najua)
Najua (najua)
Umenishika mimi ni wako (ni wako ooh)
Ni wako ooooooh

Oh Yesu
Usinitoe kwenye yako mipango
Bila wewe sina mwisho na mwanzo ooh
Ona, ona aah
Siwezi tena kujificha
Kwangu ndio unabisha
Nakukaribisha ooh
Na me nataka nikiomba (nakuona tu Baba)
Na nikiimba (nakuona tu Baba)
Eeh na nikiwa nawe Daddy (nakuona tu Baba)
Uwe pamoja nami oohh oohh
Kwani najua (najua)
Najua (najua)
Umenishika kwenye mikono (mikono ooh)
Najua (najua)
Najua (najua)
Umenishika mimi ni wako (ni wako ooh)

Ooooh weeh
Ooooh weeh
Ooooh weeh
Ooooh weeh
Ooooh weeh
Ooooh weeh
Oooh najuaaaaaaa
Najuaaaa
Ooooh weeh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Najua (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DAVID WONDER

Kenya

David Wonder is a Kenyan Gospel artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE