Nimetumwa Pesa Lyrics
Luck ni kutafuta utakacho
Jealous itafanya mle kwa macho
Naweza kuwa mfano kwa wenzako
Tulovuja damu hatuogopi kuvuja jasho
Broke niggas wanakufa wakiwa na jealous eish
Mi nalipa bills, --
Coz I'm young wise and famous kid
Ah na tuko swag bitch
Madem kibao washanizimia data
Na ndio hao hao, wanaonizimia sasa
Call them the most confidential rapper
Naingiza M kila siku na sinenepi ata
Whatsapp bro endorse madeals
Nashinda kwenye -- sixty
Bars naandika ndani ya six dope
Nacop the deal nabonga na mapro
Na nazijua ni deal na naitaka ligi soo nana
Tushapitia mengi na mengi tushaona
Mpaka bukta za shule wahuni tushashona
Tukikosaga doh utadhani tunahoma
Tuna homa
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
Mtu mwingine maisha yake ni kukaa kaa tu
Mtu chatu mtu half mtu kiatu
Kutwa nzima yuko online Whatsapp
Akitoka kwenye udaku kudaka mambo ya watu
Wakati we umekimbia nyumbani stori
Eti mama hana kuchapu, urudi umalizie mtori
Tangu watoto tunagombania magoli
Na tamthilia zako Alenjandro I'm sorry
Ma MC tungo zinawatunga
Mistari nawafunga jamii inaona pumba
Hivi mjanja ni mtoto wa mjini anayedunda
Ushindwe rembeka Wini alikuja kutoka Ibunga
Let me try to break it down for you
And explain things okay my friend?
Kama nahitaji change nahitaji kuspend
Nina mahitaji mengi, do you understand
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
No money, no honey
Check our lives so funny
Mambo sio kama zamani
Chemsha bongo kichwani
No money, no honey
Check our lives so funny
Mambo sio kama zamani
Chemsha bongo kichwani
(Touch Touch)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Slave Become a King (Single)
Copyright : (c) 2020 CMG
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DARASSA
Tanzania
Sharif Thabit Ramadhan's, better known as Darassa, is a recording artist, performer and songwrit ...
YOU MAY ALSO LIKE