Home Search Countries Albums

Unastahili

DANIEL JA BLESSED

Read en Translation

Unastahili Lyrics


[VERSE 1]
Nita pata wapi mwengine rafiki kama wewe
Nita pata wapi mwengine Mungu kama wewe
Nita pata wapi mwengine rafiki kama wewe
Nili enda corner corner sija muona
Nilienda mahali pote sijamwona
Nina marafiki wengi wadunia
Nina marafiki wengi sana wadunia
Lakini rafiki kama wewe sija muona
Rafiki mziri kama wewe sija muona
Wanasemaka rafiki mzuri wakati wa shida
Wanasemaka rafiki mzuri wakati wa shida
Wakati wa shida zangu unaonekana
Kwa sana
Nikiwa ndani ya shida unaonekana kwa sana
Niki sema papa papa niko ndani ya shida
Niki sema Mungu niko ndani ya shida
Una saudiaa

[CHORUS]
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba

[VERSE 2]
Wewe wa jana kesho na milele
Hauja wai kufa baba
Wewe wa jana kesho na milele
Hauja wai kufa baba
Haujawahi kufa au kupotea
Wewe husaidia wabaya wote na wazuri
Hauna ubaguzi wowote unawapa
Wale wabaya wote na wazuri ni sawa sawa
Mungu Mzuri hakuna kama wewe
Wale wabaya waki omba mvuwa ina wapa mvuwa
Na yule mzuri aki omba mvuwa ina mpa
Tena wote waki omba juwa unawapa juwa
Wewe ni Mungu bila ubaguzi
Rafiki Mzuri
Hakuna kama wewe Messia
Hakuna kama wewe Yesu wambiguni

[CHORUS]
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba
Unastahili, Unastahili
Unastahili Baba

[VERSE 3]
Unastahili
Unastahili sifa
Unastahili kuesheshimiwa Papa
Unastahili sifa zako
Unastahili Papa haaaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Unastahili (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DANIEL JA BLESSED

Kenya

Daniel Ja Blessed  is a Gospel artist . Songwriter and recording artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE