Jumapili Lyrics
Neno la bwana ni upanga mkali unaokata pande zote,
Wateule tusife moyo,
Yeye yule aliyeanzisha kazi njema ndani yetu,
Ameahidi atakamilisha
Kila siku ni kama jumapili (jumapili)
Kila siku kwangu, ni kama jumapili (jumapili)x2
Jumatatu kufunga na kuomba,
Jumanne shiriki na wajane na yatima
Jumatano baba, chambua bibilia,
Alhamisi, shiriki na wafungwa na wagojwa,
Ijumaa baba kesha kanisani
(Kesha na kuomba)
Jumamosi(jumamosi),
Tangaza neno lako bwana yesu
Neno lako nahubiri,
Kwa nyimbo zangu za injili,
Kwa maana wewe ndiye mwamba,
Imara na salama,
(Nitangaze, nihubiri, nishiriki, nikusifu)x2
(Oh yahweh, yahweh)x3
Oh yahweh
Wateule tusiwe wakristo wa jumapili pekee,
Siku zote za wiki tukamilishe injili,
Na tutimize wajibu tuliopewa na yesu kristo,
Watembelee wagonjwa hospitalini,
Ushiriki na mayatima na wajane,
Kuwasaidia wasiojiweza,
Na kueneza injili hadi pande zote za dunia,
Kutii amri zake mwenyezi mungu,
Na kufuata maagizo yake,
Tutii amri
Kila siku (jumapili)x2
Ah (jumapili x2)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Jumapili (Single)
Copyright : ©2016
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
DADDY OWEN
Kenya
Owen Mwatia popularly known as Daddy Owen was born on Friday 1, 1982 is a Kenyan contemporary Christ ...
YOU MAY ALSO LIKE