Home Search Countries Albums

Si Ulisema (Remix)

CHRISTIAN BELLA

Si Ulisema (Remix) Lyrics


Sitajuta kupenda ingawa yaumiza moyo
Me naumizwa kukosa la kupewa likiiizo
Mimi sina makosa
Mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni kheri ukihisi jambo
Ulichunguze upate uhakika
Mimi sina makosa
Mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni kheri ukihisi jambo
Ulichunguze upate uhakika

Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limeka aah haifai iih kunyamaziwa

Wivu ninao ni binadamu nimekamilika aah
Ingawa muda sinao kila dakika me naijutia aah
(....)

Sijui kwanini tunagizana
Wakati najua tunapendana
Hatua zetu zinapishana
Kwenye safari Yetu ya mapenzi

Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaele wana mwisho tunapuuzia
Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa

Lenye uhakika tulifuate yeehee
Lisilo uhakika tuliache yeehee
Sina unajua na kupenda
Si unajua achana nao
Si unajua nakupenda
Mtoto achana nao

Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa

Hilo aifai … kunyamaziwa
Hilo aifai kunyamaziwa
Hili aifai aifai iiiiiiiiiih
Hilo aifai kunyamaziwa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Si Ulisema (Remix) (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

CHRISTIAN BELLA

CONGO (DRC)

CHRISTIAN BELLA  is a congolese singer based in Dar Es Salaam Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE