Kanyagia Lyrics

Wakanyagie na slippers
High heels na Timber
Kila aina ya sneaker
Wakanyagie na slippers
High heels na Timber, Nike Adidas
Kila aina ya sneaker
Kanyagia ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Itabidi wametulia tu wakininyatu
Niko ndani ya booth ka mguu ndani ya kiatu
Na nimepiga luku tu sijakimbia tu
Na nimavaa matimba ju na kayagia tu
Mastori za upuzi na
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Wakijifanya wa juzi na
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Ka umejazwa na kichuki na ku
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Kumwagia jina yangu chumvi brathe
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Ati rumours are spreading
Brathe maintain
Usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti
Ni kugenje punguza kelele ka si necessary
Si unajua stori ya mkebe ikiwa empty nani
Kiatu itembezwe ka stori haiinvolve biz
Punguza kasheshe na uachane na showbiz
Showbiz genje niongeze manoti ndani ya pori
Wakanyagie na slippers
High heels na Timber, Nike Adidas
Kila aina ya sneaker
Kanyagia ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Wakanyagie na slippers
High heels na Timber, Nike Adidas
Kila aina ya sneaker
Kanyagia ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Ah unabonga sana hauchoki kuongea
Unajulikana haukosi kwa umbea
macho yako ka udaku ka miwani juu
Antenna imepanda juu sana
Nipigie ka tunaongea mkwanja tu
Sana nipigie ka tunaongea mkwanja tu
Rada mi nashughulikia yangu tu
Stevie Wonder so kwa vitanda mi silalangi juu
So mastori za ufala unaweza
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Bado shingo za marapper mi na
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Last year niliona manyoka nika
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Adui yako atakusoma buda
Kanyagia kanyagia, kanyagia
Cheki romours are spreading
Ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi
Mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji
Ikifika time ya insides cooper hamchelewi
Upepelezi
Na tukiongea ukweli
Mastori hazitauza bila chumvi kwa mneti
So ka we kama hupendi funga macho usicheki
Ras hii mambo bana haieleweki, kanyagia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Adventures of Chris Kaiga (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE