Sinsima Lyrics
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Umesema unakuja ona muda unakwenda
Na sitaki kukosa ndo tuweke vitu, vita kwa wao
Washikaji washafika hawakomi wanakonda
Kila kitu nishalipa, pombe nyama chumba yeah
Sio kama natamba, sio kama natamba
Sio kama na ah ah ah ah
Sio kama natamba, sio kama natamba
Sio kama na ah ah ah ah
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Unashotaka unakunywa aah
Na unachotaka unakula
Na enjoy kubembelezwa
Hio supu tunywe ya pweza
Oh baba wee, mwenzako niko njiani
Uwache haraka pupa
Napambana na foleni punguza panda shuka
Nilivyojipodoa oh podo podo podo
Wao watakodoa oh kodo kodo kodo
Nishapata misa, hapa kwenye mataa
Natamani kupaa nije nikubambe baby
Sio kama nadanga, sio kama nadanga
Sio kama nada ah ah ah ah
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Aha eeh ah aha, nimeshalipia
Sinsima, kuku waje wazima
Sinsima, crate na --
Sinsima, kuku waje wazima
Sinsima, crate na --
Sio kama natamba, sio kama natamba
Sio kama na ah ah ah ah
Sio kama natamba, sio kama natamba
Sio kama na ah ah ah ah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sinsima (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHEGE
Tanzania
CHEGE CHIGUNDA, born Said Juma Hassani on October 8th, 1979, is a singer, song writer and dancer fro ...
YOU MAY ALSO LIKE