Bwana Nakaribiya Lyrics
Bwana na karibiya mbele zako
Nina kuja n’jisi nilivyo
Nina leta yote yangu
Uni jaze uwepo wako
Kama udongo mbele ya mufinyanzi
Ninakuja kwako mungu muumbaji
Nina leta yote yangu
Nifinyange uniumbe upya
Bwana na karibiya mbele zako
Nina kuja n’jisi nilivyo
Nina leta yote yangu
Uni jaze uwepo wako
Kama udongo mbele ya mufinyanzi
Ninakuja kwako mungu muumbaji
Nina leta yote yangu
Nifinyange uniumbe upya
Mbele nikupe ninacho leta
Ninaji owa mwenyewe kwako
Mbele nikupe ninacho leta
Ninaji owa mwenyewe kwako
Kama ukini jaze roho wako
Nita imba wimbo pya
Nita tangaza matendo yako
Sita nyamanza nita imba
Kama ukini jaze roho wako
Nita imba wimbo pya
Nita tangaza matendo yako
Sita nyamanza nita imba
Ehhh bwana nina kuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh yesu ninakuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh bwana nina kuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh yesu ninakuja kwako
Niguse uni badilishe
Kama umeni kubali nioneshe utukufu wako
Kama umeni kubali tembeya nami
Kama umeni kubali nioneshe utukufu wako
Kama umeni kubali tembeya nami
Kama umeni kubali nioneshe utukufu wako
Kama umeni kubali tembeya nami
Kama umeni kubali nioneshe utukufu wako
Kama umeni kubali tembeya nami
Ehhh bwana nina kuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh yesu ninakuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh bwana nina kuja kwako
Niguse uni badilishe
Ehhh bwana nina kuja kwako
Niguse uni badilishe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nous Jetons Nos Couronnes (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
CHANDELIER DE GLOIRE
CONGO (DRC)
Chandelier de Gloire is an intercommunity and professional Gospel group that works for the salvation ...
YOU MAY ALSO LIKE