Home Search Countries Albums

Kamkora Lyrics


Salaam Aleikum
May peace be upon you
It's cartoon the funniest singing comedian
Life siku hizi sweet mwaaah
Mistari siku hizi tunalia utamu wa nature free
Tough ni kustep hizo enzi za ma3
Siku hizi ni madinga tunawasha bila key

Press it bungu shada mi mjuaji
Wabanje wasibanje bora kidale silali
Si enzi za kale kalale ka we hunibambi
Si nini ama nini but macomedy kibirr
Ah ah ah aaah

We ka hunitaki man jitoe mbali nami
Ju stingo nilispread one two corona nil
Mandem na sin ndo anadai kuuma nani
Ah ah weee

Hii ni bidii na sispread miguu
Hii ni love na sipigwi rungu
Ka nina ass mbona nifanye bidiii
Ka nina pesa mbona niwe bibi

Kamkora, usikaone hivo
Kamkora, ey ni kabaya
Kamkora, kamkora, mtu hawezi sema
Kamkora, kamkora, ni kenyewe
Kamkora, kamkora 

Zimbaka zimbaka zimbaka ziii
Alinidai nikamshow zii
Si uko na manzi anaitwa Rozy
Kuja nikupee ndizi

ABCD, dem marua, mi naua
Pikipiki maua aah
Mi ni mdenge nilihustle bila support
Corona days zilidu nihit jackpot
Stay true to your meaning no second thought
Dem mhot eti atakuwa pilot hehehe 
Kumbe kadot aah weee

Hii ni bidii na sispread miguu
Hii ni love na sipigwi rungu
Ka nina ass mbona nifanye bidiii
Ka nina pesa mbona niwe bibi

Kamkora, usikaone hivo
Kamkora, ey ni kabaya
Kamkora, kamkora, mtu hawezi sema
Kamkora, kamkora, ni kenyewe
Kamkora, kamkora 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Kamkora (Single)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CARTOON COMEDIAN

Kenya

Cartoon Comedian also known as Cartoon Actress is an artist/comedian from Kenya. She became fam ...

YOU MAY ALSO LIKE