Moyo Lyrics
Bruce africa pon dis again
Pon dis again
Ooohh baby
Mazima nimezama
Ndani ya penzi lako kina nimezama aaaahhh
Nakupenda huna drama
Watapita wote kwangu una nanga
Changu kipenda roho
Mbichi hivyohivyo
Hauna kasoro
Haunaga choyo
Changu kipenda roho
Kama cha form four
Umeuninya moyo
Haunaga choyo
Ukitaka kuniacha let me know
Niupe taarifa moyo wangu mdogo
Ukitaka kuniacha let me know
Niupe taarifa moyo wangu mdogo
Moyo wangu mdogo
Moyo wangu mdogo
Kimideko juu na mineso
Nikileta jasho unakaleso
Si unaona vile tunafanana
Kimideko juu na mineso
Nikileta jasho unakaleso
Si unaona vile tunaendana
Dada wee
Ulivyo mzuri hivyo
Nimekuimbia na kanyimbo
Eti siku ije uje kuniacha no
Dada wee
I can ‘t imagine life without you
You are my gift from above
Cheki nina nona juu na mapenzi aisee
Change kipenda roho
Mbichi hivyohivyo
Hauna kasoro
Haunaga choyo
Changu kipenda roho
Kama cha form four
Umeuninya moyo
Haunaga choyo
Ukitaka kuniacha let me know
Niupe taarifa moyo wangu mdogo
Ukitaka kuniacha let me know
Niupe taarifa moyo wangu mdogo
Moyo wangu mdogo
Moyo wangu mdogo
Kimideko juu na mineso
Nikileta jasho unakaleso
Si unaona vile tunafanana
Kimideko juu na mineso
Nikileta jasho unakaleso
Si unaona vile tunaendana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE