Wewe Tu Lyrics
Mama upendo hufichiki
Ukipendwa unafa mazima
Hata kama nyuma uliumizwa
Ukipenda unafall in love again
Utamu wa pombe kulewa
Basi kunywa mwisho kuzima
Nilishaapa sitawai penda
Kisa nilitendwa
Leo nimefall in love again
Mama moyo, moyo
Mama moyo huruma eeh
Mama moyo moyo
Ukipenda unapenda kweli
Mama moyo, moyo
Mama moyo huruma eeh
Mama moyo moyo
Ukipenda unapenda kweli
Mama moyo umependa, wewe tu wewe
Akili yangu inawaza, wewe tu wewe
Mama moyo umependa, wewe tu wewe
Akili yangu inawaza, wewe tu wewe
Huu upendo huu upendo
Aliousema Zari umemtenda
Na bado ana moyo anapenda
Mtima ishaa
Niliachana na Akothee
Nikasema its okey
Life hata ipotee
Roho yangu ipone
Wacha blogger waongee
Kwa maneno nikolee
Mama moyo, moyo
Mama moyo huruma eeh
Mama moyo moyo
Ukipenda unapenda kweli
Mama moyo, moyo
Mama moyo huruma eeh
Mama moyo moyo
Ukipenda unapenda kweli
Mama moyo umependa, wewe tu wewe
Akili yangu inawaza, wewe tu wewe
Mama moyo umependa, wewe tu wewe
Akili yangu inawaza, wewe tu wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : V the Album (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BROWN MAUZO
Kenya
Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...
YOU MAY ALSO LIKE