Naoa Lyrics
Nimelewa chakari, mwenzenu kwake sijiwezi
Kung'oka ndo ngumu, moyo ushamea mizizi
Nishaweka na nia, mwenzenu na mwaka nioe
Nishachanga na vihela, mahari kwao nikatoe
Na nitake kwake nini nikose aah
Nala raha kwa bustani mmh
Kichwa nishalaza kifuani
Na alivyo laini ka maini, mmh
Naoa naoa, mwenzenu naoa
Naoa naoa, nimepata jiko
Naoa naoa, ooh nishakata kauli
Naoa naoa, eeh bye bye ubachelor
Kwake sibanduki, siondoki
Nimezama kina
Matusi si mkuki, si bunduki
Mnajisumbua
Nalala naye, naamka naye
Na Maulana kanipa ye, yeye eh eh eh
Nampenda ye, ananipenda ye
Ni radhi nizikwe na yeye, eh eh eh
Na nitake kwake nini nikose aah
Nala raha kwa bustani mmh
Kichwa nishalaza kifuani
Na alivyo laini ka maini, mmh
Naoa naoa, mwenzenu naoa
Naoa naoa, nimepata jiko
Naoa naoa, ooh nishakata kauli
Naoa naoa, eeh bye bye ubachelor
Kwa maneno yasoisha, tuache
Eeh mmh, watuache
Vijembe vya ma ex, tuache
Mmmh, watuache
Mara pete ni ya kiki, tuache
Mmh ooh, watuache
Eti hatuendani, watuache
Eeh aah, watuache
V baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : V the Album (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BROWN MAUZO
Kenya
Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...
YOU MAY ALSO LIKE