Imanueli ft Seechi Lyrics

Kuna Yule aliye karibu
Muumba mbingu na vyote vilivyo vyema
Kuna Yule aliye karibu
Mkono Wake una nguvu waokoa
Kuna Yule aliye karibu
Sauti Yake yatetemesha jangwa
Namfahamu Yule aliye karibu
Kwa Jina lake yote yawezekana
Ni Mungu ni Mungu, Eh ni Mungu
Anayetenda miujiza, Eh ni Mungu
Ni Mungu, ni Mungu, Eh ni Mungu
Mungu Yu pamoja nasi, Eh Ni Mungu
Immanueli, Yeye ni Immanueli
Immanueli, Yeye ni Immanueli
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Hata tupitie moto hatuchomeki
Nayo maji yawe mengi hayatuzamishi
Vikwazo na majanga anaondoa
Milima mbele zake anayeyusha
Hata tupitie moto hatuchomeki
Nayo maji yawe mengi hayatuzamishi
Vikwazo na majanga anaondoa
Milima mbele zake anayeyusha
Ni Mungu ni Mungu, Eh ni Mungu
Anayetenda miujiza, Eh ni Mungu
Ni Mungu, ni Mungu, Eh ni Mungu
Mungu Yu pamoja nasi, Eh Ni Mungu
Immanueli, Yeye ni Immanueli
Immanueli, Yeye ni Immanueli
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Mungu pamoja na sisi aah
Imanueli, Mungu pamoja nasi
Imanueli, Mungu pamoja nasi
Imanueli, Mungu pamoja nasi
Imanueli, Mungu pamoja nasi
Imanueli, Mungu pamoja nasi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE