Home Search Countries Albums
Read en Translation

Dawa Lyrics


Wako uzuri kama dem wa ndotoni
Niko nawe najihizi kama niko peponi
Can you be my wife nikuweke ndani
I don't want no one else but you

When you smile, when you smile baby
Kabisa wanimaliza
We ni raha, we ni raha
Wajua kunichombeza

When you smile, when you smile baby
Kabisa wanimaliza
We ni raha, we ni raha
Wajua kunichombeza

Kwangu we dawa, dawa, ooh
Yaani Adamu na Hawa, Hawa 
Kwangu we dawa, dawa, ooh
Yaani Adamu na Hawa, Hawa 

Mi bado, bado nabaki na wewe
Mahaba niue ue, nizikwe na wewe
Mi bado, bado nabaki na wewe
Mahaba niue ue, nizikwe na wewe

We peke yako ndo unanikolezaga
Unaniwezaga
Mbele yaelea na nanga imezama
Ooh baby

Umenifumba macho yangu, mwingine simwoni
Ukaniteka hisia zangu, mapenzi ni upofu
Umenifumba macho yangu, mwingine simwoni
Ukaniteka hisia zangu, mapenzi ni upofu

When you smile, when you smile baby
Kabisa wanimaliza
We ni raha, we ni raha
Wajua kunichombeza

When you smile, when you smile baby
Kabisa wanimaliza
We ni raha, we ni raha
Wajua kunichombeza

Kwangu we dawa, dawa, ooh
Yaani Adamu na Hawa, Hawa 
Kwangu we dawa, dawa, ooh
Yaani Adamu na Hawa, Hawa 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Dawa (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BROWN MAUZO

Kenya

Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...

YOU MAY ALSO LIKE