Home Search Countries Albums

Sijazoea Ivo

BOONDOCKS GANG Feat. REKLES, GUZMAN

Sijazoea Ivo Lyrics


Yeah
Gang gang, Odi wa Muranga
Genge la Bundoksi, Guzu
(Black Market Records)

Ni ngware nimeamka na mi naota kajua
Nishatumia punch na hata sijapumua
Siwezi ringa na hii mwili ju ni maua
The more unazeeka the more pesa unaitambua

Nilikatia yule ngoka akakubali menjes
Sijazoea hivyo (Aje)
Sikumuuliza ka ye hukuwanga na chali menjes
Nimezoea hivi (Aje)

Nimezoea hivi (Aje)
Kucheza na matiti (Aje)
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na pinic kwani vipi

Si eti ni jealous, ni ati buda unaboo
Si ati ni wivu, ni ati buda unaboo
Si eti ni jealous, ni ati buda unaboo
Si ati ni wivu, ni ati buda unaboo

Nina kinyambiz nina kitasho mta trrr
Ni Guzman yaani madidi the man
Nina manjling na mangoto za kizingting
Ma TBN nikiwatrace wao hudisna

Mabaroda mi hukashi na kinyambiz
Kwenye matiki ukidigi down nichi
Na ukinitrace exo bago uko riai
Ni kukufanya kama tumepachiki scene ting

Na ma-ayela wenye bumper (Aje)
Ni masiwa ndo kubonga (Aje)
Nakauka nafi we nyonga (Aje) 
Kauka nafi we nyonga (Aje) 

Ye hukuwanga ready akihesabu mara utat
Kiberr nikufanyie kamasutra
Wusga nikupate ka umebugda
Maluda aluta alafu nikuitie Uber

Mi humuonyesha, tuburn sativa
Ye hunionyesha kuchange saliva
Mi humshow vile ameiva 
Na roho insema ni yeye inaprefer

Dem aniite bro, mimi mimi mimi 
Mimi mimi gal mimi
Dem aniite bro, mimi mimi mimi mimi
Nitakabangbros 

Nilikatia yule ngoka akakubali menjes
Sijazoea hivyo (Aje)
Sikumuuliza ka ye hukuwanga na chali menjes
Nimezoea hivi (Aje)

Nimezoea hivi (Aje)
Kucheza na matiti (Aje)
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na pinic kwani vipi

Nilikatia yule ngoka akakubali menjes
Sijazoea hivyo (Aje)
Sikumuuliza ka ye hukuwanga na chali menjes
Nimezoea hivi (Aje)

Nimezoea hivi (Aje)
Kucheza na matiti (Aje)
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na pinic kwani vipi

Nina mageti tukiseti twenderee
Leo tunachana hadi za Mbeere
Ita pedi akiroll ni kipuff
Naughty gal ukibounce on your back

Casper kuna mark iende round
Haha haga yako icheze brown
Na matambla kwa hall anadance
Kakitamba

Kwani ni kesho, uliza morio hukudi
Kwani ni kesho, uliza morio hukudi

Okay! Yoh watagwaan niaje niaje jo ni holla
Kuna biz mi huskizaga ganji siwaskii
Cheki jamaa hii ni ujanja nimechangaya na bidii
Cheki hizo takataka sibelieve

Takataka kwako kwangu ni doh
Na ukibeba tobacco beba hadi ndom
Cheki fala ameingia kalia kidole cha kati
Kati, nakuja kasi ma nadai beef makinika
We ni simba na unaduck nikifikla
Vile ye ni diva mi hutambua sinyorita
Figa fine fine na africa 

Nilikatia yule ngoka akakubali menjes
Sijazoea hivyo (Aje)
Sikumuuliza ka ye hukuwanga na chali menjes
Nimezoea hivi (Aje)

Nimezoea hivi (Aje)
Kucheza na matiti (Aje)
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na  pinic kwani vipi
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na  pinic kwani vipi

Nilikatia yule ngoka akakubali menjes
Sijazoea hivyo (Aje)
Sikumuuliza ka ye hukuwanga na chali menjes
Nimezoea hivi (Aje)

Nimezoea hivi (Aje)
Kucheza na matiti (Aje)
Kuplay na ma big tings (Aje)
Niko na  pinic kwani vipi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Genge La Bundoski (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BOONDOCKS GANG

Kenya

Boondocks Gang: members include ( Exray, Odi wa Murang'a and Maddox )  is the Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE