Home Search Countries Albums

Nirombosee

BOONDOCKS GANG

Nirombosee Lyrics


Bado niko lit  
Niko rada ma eeeh!  Niko rada ma! 
Bado niko lit niko rada na ma! 
Niko rada na ma!

Bado niko lit niko rada na mamu(Eeh) 
Niko rada na mamu
Bado niko lit niko rada na mamu (eeh)
Niko rada na mamu 
 
Usingoe bana sunirombose
Usingoe bana sunirombose

Niko jaba na mama tuko zile za yaman
We ukikakaza sana ntashusha
Sidechick pia anazusha 
Na mamgeus wote kipusa
Na kifisi ntakivaa

Kuna smarter na ki vans
Amebeba Taliban anataka kuni burn
Anataka tu ma funds

Bado niko lit  
Niko rada ma eeeh!  Niko rada ma! 
Bado niko lit niko rada na ma! 
Niko rada na ma!

Bado niko lit niko rada na mamu(Eeh) 
Niko rada na mamu
Bado niko lit niko rada na mamu (eeh)
Niko rada na mamu 
 
Usingoe bana sunirombose
Usingoe bana sunirombose

Mtaa miutoka siko  fitina
Wamatha wako rada wako fitina
Siati nini minadai iyo Itina
Bubble wine juu ya Meza ama kitina

Zitoke ukitoka ama vipi man
Siform ni ma odi ama rasta man
Suguliwa morio sutachizi man
Mvae kidevu uyo mbleina man

Bado niko lit  
Niko rada ma eeeh!  Niko rada ma! 
Bado niko lit niko rada na ma! 
Niko rada na ma!

Bado niko lit niko rada na mamu(Eeh) 
Niko rada na mamu
Bado niko lit niko rada na mamu (eeh)
Niko rada na mamu 
 
Usingoe bana sunirombose
Usingoe bana sunirombose

Rombosa rombosa twende chini whine slow
Siko fiti mamaa Niko ma keraiko
We inama mamaa utoe hadi jasho
Using'oe banaa mi ni mchumbako

Ntakufwata toka home adi dunda
Ata kama bana namba linimunda
Utapanda punda si na Uber
Maisha Githu hapa sio Runda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nirombosee (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BOONDOCKS GANG

Kenya

Boondocks Gang: members include ( Exray, Odi wa Murang'a and Maddox )  is the Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE