Home Search Countries Albums

Buda Ni Me

BLAQ WAYNE

Buda Ni Me Lyrics


(This the best, buda ni me
Noxious beats
Me is popping)

Cheki
The way am spitting, Hakuna ninja anaeza fanya
Keep on hating, Juu daily nazidi kusonga
Jua ni kubaya, Morio napiga zoezi
Wenye na-murder,  ni hawa marapper wame fake it
Gang ni mbaya, crew imebeba mabandit
Vile nadunga, Siezi choka kuwateka
Huku mapunchline, Ndio zinafanya natesa
Ngumi za Tyson, hapa lazima unasepa  

Me, me ndo nimebeba umati
Buda ni me, me is popping
Huku ni me, me ndo nafanya rahisi
Buda ni me, huku ni me

Ain't competing
Wengi wenu nyi ma android, huku bana me ni type C (Cheki)
None of you niggas can troll me
Hizi streets am popping
Hapa unabaki umeng’ethia
Soon nabeba magoro
Juu sai nimebeba umati
Identity ni kiongozi
Ex sai anataka retake
Am sorry niliacha vitibi
Sikuizi nafanya mabanger
Kwanza rahisi tena visimple buda utadhani ni magic
Who said you chasing what you can't be? (fuck them)
Flow ni gwan hope you say, (yes bana)
Am rolling with the G'S
Vile nafeel am juicy
Lazima ni trend by default
CNN saii am trending
Nina tabia za mastepper
Me nawatoka ki Messi
Bitch, I like you, noo am dating
You sure anakupenda na soul
Mbona nafeel you kidding?
Mresh, cheza, cheza na me

Me, me is popping
Huku ni Me, Me ndo nimebeba umati
Buda ni Me, Me ndo nafanya rahisi
Buda ni Me, huku ni Me
Me is popping, Buda ni Me
Me is the best, Buda ni Me
Me ndio nmebeba umati, Buda ni Me
Huku ni Me….,Gang shit

(Icious beats)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Buda Ni Me (Single)


Added By : FWayne

SEE ALSO

AUTHOR

BLAQ WAYNE

Kenya

Blaq Wayne is a kenyan artist ...

YOU MAY ALSO LIKE