Juu Lyrics
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee eeh
My dear, my dear
Toka nikuone mpaka leo nimekuwa
Nakutamani my dear
Na vile me hukucheki
Ata wewe unajua
Nimekuweka juu juu juu
Kwa class, yolo vibe uko true true true
Situ hang pamoja just me and you
Na tuvibe pamoja lets keep it true
Aaai, tuipeleke mos,
Hakuna haraka mami
Guarantee to be my wifey
And I know you feel what I feel
Especially
When you make your love to me(Uwoo)
You are the one, you're the best
Sai uko fire, uko bomb, uko fresh
Nafeel ni kama nime over mistep
Hapa tip-down kuna ka hidden feeling
[Chorus]
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee eeh
Come closer I wanna give you affection
Ain't got no time to waste
No need to fight and woun't you come over
And give a little taste
[Chorus]
Nimekuweka juu
Thats why you got my body all up on you
Nipe love true, oooh oooh oooh
Wanna waste for you
Watch me do it all for you
Shake my hips for you
All this sugar is all for you
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee eeh
Umenipa juju
Wowo wowo wo...
Wowo umenipa juju
Nimesha chiziii
Umenipa juju
Umenikunywa supu
Giving my love to you
Nimesha chiziii..
[Chorus]
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee
Nimekuweka juu, juu beiby
Juu juu, juu beiby
Juu, don't know what to say
Ni siri yetu mimi na wee eeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Juu (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BIG PIN
Kenya
Big Pin is an award winning, recording and perfoming artist from Kenya, born Chrispin Mwa ...
YOU MAY ALSO LIKE