Home Search Countries Albums

Nimezaliwa Leo (Remix)

BENZEMA Feat. RAFF MSHAIRI

Nimezaliwa Leo (Remix) Lyrics


Mahali niko me nahitaji kaparashoot
Kuna place natakikana na birthday suit
Tizi kiasi itabidi nimeungaunga
Leo gym ninaingia bila rubber shoes, cheki
Leo ni keki mbili nakata
Ambia waiter alete maji me hukataa
Na bounce pia achuje mbogi me hukataa
Leo sitoki, sahii neaza kaa kaa
Nani amejam na mimi
Nani amekam na feelings
Me naona ka unaburn
Hapa ni utoke nduki, hapa sherehe ndio shugli
Kwa nini, nimezaliwa leo
Nimezaliwa leo

Me ni lastborn nabebwa na apron
Na manapkin zilibebwa na carton
Birthday shirt zangu zote hazina button
Naweza request, cheza buju banton
Niko 64  na ni my birthday
Oprah winfrey can you be my wifey
Twende jkuat nimfundishe it
Nairobi street kitchen pale westy
Na me nataka guest of honour aitwe gracee
Na kuna vnye anaezakam na ma besti
Na wakue ready kujipata kwa gazette
Ni birthday yangu na me siteti
Nimezaliwa leo
Nimezaliwa leo
Ni birthday yangu na me siteti

Sahi we imagina vile naskia
Wishes zenu zimenifikia
Itabidi umenyonga ka inakukatsia
Bash ya sahi ni kionjo ya next year yeah
Talk of the devil na me ndio naappear
Peer pressure nawapea ni ya beer
Kesho tumbo itakua inakimbia
Doki akiitisha io stool atakalia
Nimezaliwa leo
Nimezaliwa leo
Nimezaliwa leo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nimezaliwa Leo (Remix) (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BENZEMA

Kenya

Benzema David aka Alejandro is a Kenyan rapper/artist from Ochungulo family which is one of the best ...

YOU MAY ALSO LIKE