Wewe Lyrics

Kama anaona ni sawa
Anachofanya ni sawa
Siwezi kum force, siwezi kumi azimisha
Si ananiona mi boya
Anachofanya kunikomoa
Anajua nampenda ndo maana anipeleka puta
Moyoni wangu, natamani nikutoe
Natamani nisikupende tena wewe wewe
Maumivu yangu huyajali hata kodogo
Hivi una roho gani mbaya sana wewe wewe
Mi nataka kuwa na we
Kuwa na wewe tu
Ulonifanya kuwa na we
Kuwa na wewe tu
Mi nataka kuwa na we, wewe tu
Ulonifanya kuwa na we
Hivi alitaka nini kwangu nikashindwa kumpatia
Mbona mapenzi nilimpa na hata pesa nilimpa
Kumbe hana jema, hana jema
Na inavyoonekana hata ningempa nini angenitema
Ulivyo mzuri mtu hawezi kudhani kama una roho mbaya wewe
Sura yako na metendo yako havifanani nawe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Wewe (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BEN POL
Tanzania
Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...
YOU MAY ALSO LIKE