B The King Lyrics

#King of RNB in Tz
Be the king, be the king eeh
Be the king, be the king eeh
Be the king, be the king eeh
Am the king, am the king eeh
Be the king, be the king eeh
Be the king, be the king eeh
Be the king, be the king eeh
Am the king, am the king eeh
Niko hapa kwa uwezo na dsi fitina
Na nazidi kusonga sibaki nyuma
RnB begani sitaitua
Najivunia mbali nimeitoa
Maana inapendwa leo
Nilipambana
Itapendwa kesho
Nimesimama
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Hii ndio beat, beat
Iko kama speaker, aah
Hii ndio beat, beat
Iko kama guitar, ah
Hii ndio beat, beat
Iko kama speaker, aah
Hii ndio beat, beat
Iko kama guitar, ah ah ah
Boko ulala, mwana nyamala
Jikubali imebang mpaka Mbagala
Moshi Manyala, Lindi Mtwara
Number one fan amewashika wadala
Sofia Mombasa aah
Ningefanyaje sasa aah ah ah
Lagos Niger, kwenye redio
Mpaka juu mabisho sasa video
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Iyoo ooh ah
Hii ndio beat, beat
Iko kama speaker, aah
Hii ndio beat, beat
Iko kama guitar, ah
Hii ndio beat, beat
Iko kama speaker, aah
Hii ndio beat, beat
Iko kama guitar, ah ah ah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : B The King (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BEN POL
Tanzania
Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...
YOU MAY ALSO LIKE