Super Woman Lyrics
Ayolizer (Mopao)
Nimekuwa mkakamavu na mahiri
Sababu nimelelewa na mwanamke jasiri
Ooh jasiri, ooh jasiri, aiyee
Ooh hata mziki wangu umekuwa
Ooh mahiri, sababu nimelelewa
Na mwanamke jasiri, ooh jasiri
Nitapiga goti
Kisha nizungumze na mwenyezi
Ambariki wangu na wako na wako
Wako super woman
Na nitapiga goti
Kisha nizungumze na Mwenyezi
Ambariki wako na wangu super woman
You're my super woman
You're my super woman
Eeei super woman (Super)
Super woman (Super)
Super woman
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Super Woman (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE